- 1:34
Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Klabu ya Young Africans sports club imeipeperusha vyema bendera ya Tanzania baada kufanikiwa kutinga hatua ya Nusu fainali komba la shirikisho barani Afrika.Hatua hii imejiri baada ya timu hiyo ya Wananchi kupitia katika mikono ya Rivers United ya nchini Nigeria na kushinda bao 2-0 katika mzunguko wa kwanza na kutoka suluhu ya bila kufungana katika mzunguko wa pili.
Timu ya Yanga imeweka historia kwa mara ya kwanza kwa timu kutokea Tanzania kutinga hatua ya Nusu fainali haswa katika mashindano makubwa kama hayo barani Afrika.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Ubashiri mechi ya Vipers SC Vs Simba Sc1:41
- Ubashiri mechi ya Wydad Casablanca Vs Simba Sc -Ligi ya Mabingwa Afrika1:03
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.