Ubashiri Mechi Ya Liverpool Vs Manchester United- Mdundo Alt

[Picha: Khelnow.com]

Mwandishi: Stellah Julius

Pata na upakue Ubashiri wa Mechi mbalimbali ndani  ya Mdundo

Utamu kunoga kwa ligi ya Uingereza unaendelezwa ambapo Majogoo wa London Liverpool wanapokuwa nyumbani Anfield dhidi ya kikosi maridhwa kabisa Cha Erik Ten Hag Manchester United siku ya Jumapili.

Liverpool baada ya ushindi wake wa bao mbili dhidi ya Wolverhampton wameweka tofauti ya alama Kumi dhidi ya United ambao wako katika nafasi ya tatu.

Licha Liverpool kusuasua na Klopp kupendekeza marekebisho katika Timu hiyo lakini Bado wanajisogeza kwa kukusanya alama na katika michezo Yao mitano na United wakifanikiwa kushinda mechi tatu na zote wakishinda kwa mabao mengi Hulu United akiwacharaza katika michezo Yao miwili ya mwisho waliyokutana

Liverpool wamekuwa na clean sheet 9 katika msimu huu na Kwa upande wa United wamekuwa na clean sheet 10. Mbali na  hayo pia Kwa magoli waliyoyaruhusu katika msimu huu kwa kila Timu ni 1.17

Ubabe mwingi katika mchezo huu kwa kila Timu ikihitaji matokeo ya Uhakiki kusonga mbele zaidi na odds za kuwepo kwa magoli kwa Timu zote ni 1.56

Leave your comment