- 1:30
Uchambuzi Mechi ya Fulham Vs Liverpool
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Katika viunga vya Craven Cottage Fulham waliwakaribisha Liverpool katika mzunguko wa kwanza wa Ligi kuu Uingereza. Fulham wakiwa ndio mabingwa wa Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza wameweza kuvutana shati na Liverpool na kumaliza mchezo kwa sare wa bao 2-2.Katika mchezo huo Fulham walimiliki mpira kwa 33% huku Majogoo wa London Liverpool wao wakimiliki mpira kwa 67%. Huku kwa upande wa Kona Fulham walipata Kona 4 sawa na Liverpool ambao nao walipata Kona 4. Sambamba na Offside kwa Fulham zilikuwa 4 vivyo hivyo kwa Liverpool waliopata Offside 4.
Vijana wa Marco Silva waliupiga mwingi na kupata mashuti 3 ya moja kwa moja katika lango la Liver huku wapinzani wao hao walipiga jumla ya mashuti 4 katika lango la Fulham. Katika upande wa suala la kadi Fulham wao walipata kadi 2 za njano na Hakuna kadi zingine zilizotolewa katika mchezo huo.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.