Lyrics

"Michuano ya kimataifa imeanza vibaya kwa Tanzania mara baada ya wawakilishi wao Simba na Yanga kupokea kichapo katika hatua za makundi Klabu bingwa Afrika pamoja na kombe la shirikisho Afrika.

Wakiwa nchini Guinea Simba Sports club walisafiri kwenda kukutana na Horoya AC ambako huko walipoteza kwa bao Moja bila, goli lililofungwa na Pape Ndiaye katika dakika ya 18.

Katika kundi C ambalo Simba anashiriki ligi ya mabingwa Afrika Yuko katika nafasi ya 3 huku kundi hilo likiongozwa na Raja Casablanca wakifuatiwa na Horoya AC na Vipers SC wakiwa wanaburuza mkia.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up