Lyrics

"Ni nusu fainali za kombe la Shirikisho Azam zimekamilika mwishoni mwa wiki baada ya shughuli kuisha kwa Young African Sports club kumaliza mchezo huo kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi Simba Sports Clubs katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Feisal Salum, Fei toto ndiye aliyetia kambani bao Hilo katika dakika ya 25 ya kipindi Cha kwanza na kuwaacha midomo wazi mabeki wa Simba kwa kutikisa nyavu za Simba kwa shuti moja matata Sana lililokosa upinzani kwa kipa wao namba 2 Beno Kakolanya aliyelinda lango la Simba katika mechi zote za kombe la Shirikisho Azam huku Aishi Manula alipokuwa akiuguza vidole.

Katika mchezo huu Simba walionesha kuutawala mchezo kumzidi mtani wake wa jadi kwani 54% ya mpira ulimilikiwa na Simba huku 46% mpira ilikuwa kwa wapinzani wao Yanga, huku mashoti ya moja kwa moja kuelekezwa lango la Yanga,Simba walipiga shuti 1 huku yanga wao wakipiga mashuti 3, kwa upande wa Kona Simba walipata kona 7 na Yanga wao walipata Kona 4,kadi zilizotolewa katika mchezo huo ni 2 zote za njano, Simba wakipata Kadi 1 na Yanga kadi moja na kadi nyekundu hazikuwepi katika mchezo huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up