Lyrics

"Uhaya mwingine wa Rais Samia utaendelea endapo timu za Simba na Yanga zitapata mabao katika mechi za kimataifa. Na awamu hii Simba wanafunga virago vyao na kuelekea mpaka Uganda kukutana na Vipers katika uwanja wa Saints Mary's baada ya Simba kupoteza michezo yote miwili iliyochezwa katika kundi C ligi ya mabingwa Afrika.

Kabla ya mchezo huo kuchezwa siku chache zilizopita Haji Manara ambaye alikuwa msemaji wa klabu ya Simba aliwataka mashabiki waache kumtupia lawana nahodha wa timu hiyo John Bocco kwa matokeo mabaya wanayoyapata. Manara alisema ….. kuna vitu vinaumiza sana kuona mchezaji kama huyu hapewi heshima yake na washabiki wasiojua kitu wa Simba. Timu Yao ikifanya vibaya Bangusilo wao ni Captain wao…. Hayo aliyasema kupitia ukurasa wake wa Instagram na kwa maana hiyo kufanya vibaya kwa Simba kimataifa lawama asipewe nahodha wa kikosi hicho cha wekundu wa msimbazi.

Katika safari ya kuelekea nchini Uganda, Simba wamekuja na kauli mbiu yao ya kusema hodi hodi jirani, tunakuja na moto wetu wote. Kikosi cha Simba tayari kimewasili Kitende siku ya Alhamis ambapo watajiandaa kwa ajili ya mchezo wao siku ya Jumamosi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up