Lyrics

"Klabu za soka za Simba na Yanga zimefanikiwa kuvuka hatua za makundi katika ligi ya Mabingwa Afrika aliyokuwa akishiriki Simba pamoja na Kombe la Shirikisho mwakilishi akiwa Young Africans sports club.

Kwa upande wa Simba Katika mchezo wao walioucheza siku ya Jumamosi dhidi ya Horoya ulikuwa wa kulipiza kisasi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 7-0.

Kwa upande wa Yanga Jumapili yao ilikuwa tamu baada ya kuwapa kichapo US Monastir cha bao 2-0 na kufanikiwa kukusanya alama 10 na kwa sasa wakiwa wanaongoza kundi lao.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up