Ubashiri Mechi Ya Real Madrid Vs Barcelona- Nusu fainali Copa del Rey

[Picha: Khelnow.com]

Mwandishi: Stellah Julius

Pata na upakue Ubashiri wa Mechi mbalimbali ndani  ya Mdundo

Fainali za Super Cup zilimshuhudia Barcelona akibeba ubingwa dhidi ya Real Madrid mwezi Januari. Kwa mara nyingine Tena timu Hizi mbili zitakutana tena katika nusu fainali za Copa del Rey mchezo utakaochezwa katika viunga vya Santiago Bernabeu.

Kuelekea mchezo huu Pedri ataukosa mchezo huu baada ya majeraha katika misuli ya paja aliyoyapata katika mchezo was Barca dhidi ya Manchester United na katika upande wa mashambulizi Robert Lewandowski, Ansu Fati, Ousmane Dembele pia Bado ni majeruhi.

Licha ya Kuwa na mashambulizi ya ubaguzi mitandaoni lakini pia David Alaba atakuwa nje ya mchezo kutokana na majeraha, huku naye Rodrygo akiwa na shida ya misuli.

Los Blanco kutokana na ushindi mfululizo walionao kabla ya kutoa sare na Altetico Madrid wananafasi zaidi katika mchezo huu ukilinganisha na Barca ambao wamekuwa na matokeo mseto.

Odds za Los Blanco kushinda au kutoa sare ni 1.25

Leave your comment