Lyrics

"Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeanza maandalizi ya michuano ya kimataifa ya AFCON na mchezo wa kwanza watakutana na timu ya Taifa ya Uganda The Cranes mchezo utakaochezwa katika nchi ya Misri huko Ismailia.

Katika mtanange huo utakaopigwa siku ya tarehe 24 mwezi Machi Uganda itawalazimu kuwa wenyeji wakiwa nchini Misri kutokana na kutokuwa na uwanja wenye kukidhi vigezo nchini kwao kwa ajili ya mashindano hayo.

Katika kuelekea mtanange huo serikali imeahidi kutoa kiasi cha Shilingi milioni 500 iwapo Taifa Stars ifikiwa kutinga katika fainali za michuano hiyo ya AFCONs
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up