Lyrics

"Ni katika dabi ya Mzizima pale ambapo Azam Fc walipokutana na Simba Sc katika uwanja wa Azam Complex Chamazi ukiwa ni mzunguko wa 23 wa Ligi kuu ya NBC Premier League jumatano hii katika hatua ya kusaka alama 3 ili kuweza kusonga mbele kwa timu zote mbili.

Wana lambalamba Azam wakiwa nafasi ya 5 walitangulia kupata goli kupitia kwa Rodgers Kola alilolifunga katika dakika ya 38 huku wao Wekundu wa Msimbazi Simba wao wakiwa katika nafasi ya 2 alama 10 nyuma ya mtani wao wa jadi Yanga, walilazimika kukubali sare katika mechi hiyo kwa kusawazisha dakika ya 45 ya mchezo kupitia mchezaji wake John Bocco katika dakika ya 45.

Kipindi Cha kwanza ndicho kilichokuwa na bashasha zaidi Azam walicheza faulo 9 kwa 7 na mashoti ya moja kwa moja Azam katika kipindi Cha kwanza walipiga mashuti 4 na Simba wao walipiga mashuti 2.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up