Lyrics

"Baada ya kusitisha mkataba wake na kumtimua aliyekuwa na kocha wao Pablo Martin Sasa klabu ya Soka ya nchini Tanzania Simba Sc imeanza kuingia sokoni na kusaka wachezaji watakao husika na kikosi hicho kwa msimu ujao wa 2022/23, Mkakati huu ulipangwa na kocha huyo pamoja na menejimenti ya timu hiyo na mmoja wa wachezaji hao ni mshambuliaji ambaye atatoka nje ya nchi na Sasa ni Mzambia Mmali Allasane Diarra, na Hilo linaweza kutokana kuonekana kwa dalili za klabu hiyo kuonesha kunyang'anywa ubingwa kwa msimu huu na mahasimu wa Young African Sports club.

KUANZISHWA KWA KLABU YA SIMBA SC.
Simba sports Club ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa mwaka 1936 ambayo iligawanyika kutoka kwa Young African Sports club kwa Sasa wakiwa watani wa jadi. Simba sports Clubs alimaarufu Kama Wekundu wa msimbazi wakati wa kuanzishwa kwake ilijulikana Kama Eagles na baadaye wakabadili jina na kujiita Sunderland na ilipojiri mwaka 1971 ndipo wakaamua kubadili jina na kujiita Simba Sports club na ""NGUVU MOJA"" ndiyo kauli mbiu yao.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up