Lyrics

"Klabu ya soka ya Simba imeingia katika mkataba na kampuni ya MobiAid Africa Tanzania Limited inayojihughulisha na masuala ya biashara pamoja na matangazo mkataba ambao utawekeza katika kukuza vipaji vya watoto wanaolelewa Chuo cha michezo cha klabu hiyo cha Simba Youth Tanzania.

Mkataba huo uliosainiwa siku ya tarehe 23 mwezi Mei umegharimu kiasi cha milioni 500 za kitanzania ambazo zote zitapelekwa katika mradi huo ili kuboresha na kuendeleza zaidi watoto wenye vipaji katika soka kwa ajili ya maendeleo ya mpira wa miguu nchini.

MobAid watakuwa wadhamini wa chuo hicho cha michezo kwa vijana wa Simba kwa muda wa miaka miwili huku kukiwa na mategemeo ya kuendeleza safari hiyo ya udhamini katika siku za mbeleni.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up