- 1:55
Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Klabu ya soka ya nchini Tanzania Simba Sports Club hatimaye imefudhu hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushinda mechi yao dhidi ya Primeiro De Agosto ya nchini Angola kwa jumla ya mabao manne kwa moja. Ushindi huu wa Simba ni baada ya kucheza mechi mbili kwa maana ya mechi ya ugenini pamoja na mechi ya nyumbani. Mechi ya ugenini ni baada ya Simba kwenda nchini Angola na kushinda mabao matatu kwa moja na mechi ya marudiamo iliyochezwa katika uwanja wa Mkapa na Simba kuondoka na ushindi wa bao moja kwa sifuri.Katika mechi ya marudiano Wekundu wa Msimbazi walifanikiwa kupata bao lao katika kipindi cha kwanza katika ile dakika ya thelathini na tatu ya mchezo bao lililodumu mpaka kutimu kwa kipindi cha pili cha mchezo baada ya Moses Phiri mshambuliaji kutokea Zambia kuliweka kambani.
Ukiwa ni mchezo ambao Simba walipata unafuu baada ya kuingia kifua mbele na mabao matatu umiliki wa mpira wa Simba ulikuwa wa asilimia sitini na nne huku Primerio De Agosto wakimiliki mpira kwa asilimia thelathini na saba. Kona jumla zilikuwa nane na Simba walipata jumla ya kona sita huku De Agosto wakiwa na kona mbili pekee.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.