Lyrics

"Katika kuelekea mwishoni kabisa mwa msimu wa Ligi kuu ya Uingereza Sasa Wolveshampton Wanderers wanaenda kukipiga dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi hiyo ya EPL Manchester City katika uwanja wa Molineux Stadium.

Wolves ambao kwa Sasa wako nafasi ya 8 katika Ligi wanasemekana kumrudisha uwanjani winga wao wa nyuma Daniel Podence aliyekua benchi kwa muda kutokana na majeraha ya kifundo Cha mguu.

Lakini pia watawakosa mabeki wake muhimu sana katika mechi hiyo ambao ni Max kilman pamoja na Nelson Semedo ambao wao wako nje kutokana na majeraha mpaka mwisho wa msimu huu kuisha.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up