Lyrics

"Ni katika uwanja wa Wembley Stadium ambapo fainali za kombe la FA zinaenda kufanyika kwa Chelsea kukipiga dhidi ya Liverpool na kuoneshana makali yao katika fainali hizo za kuwania kombe hilo la ndani la FA Jumamosi hii.

kombe hilo la FA Kwa Sasa likiwa linamilikiwa na Lestercity walioshinda katika msimu uliopita baada ya kumpa kichapo Chelsea Cha bao 1-0 na kuwa ndio kombe lao la kwanza la FA katika historia tayari wameshaaga mashindano hayo lakini Chelsea wao wakiendeleza mbio za kuwania ushindi wa Kombe hilo na mpaka Sasa wakiwa tayari wameingia fainali.

Chelsea wao mchezaji wake atakayerejea uwanjani ni kiungo wao N'golo Kanté ambaye alikosa kushiriki mechi dhidi ya Wolves, Everton pamoja na Leeds lakini Mateo Kovacic yeye anauwezekano wa kushiriki fainali hizo licha ya kupata majeraha katika mechi dhidi ya Aston Villa huku Hudson Odoi pamoja na Ben Chilwell wao wakiendelea kuuguza majeraha yao hivyo hawatoweza kushiriki katika fainali hizo za kombe la FA.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up