Lyrics

"Hatimaye Klabu ya soka ya Young Africans sports club imeijibu kampuni ya Sportpesa ambao ni wadhamini wakuu wa timu hiyo juu ya ukiukwaji wa kanuni za mkataba baina yao.

Tatizo lilianza baada ya Yanga kuzindua jezi mpya za klabu hiyo na kuwatambulisha wadhamini wapya Haier wa klabu hiyo watakaoidhamini Yanga katika mshindano ya kombe la shirikisho CAF. katika taarifa waliyoitoa Yanga walisema ya kuwa kulingana na vigezo vya michuano ya shirikisho hairuhusiwi kuwepo kwa jezi zilizo na nembo ya kampuni yoyote ya michezo ya kubashiri (betting companies).

Pia klabu hiyo ya wananchi ilieleza ya kuwa mkataba wa Sportpesa unamipaka kulingana na mashindano wanayoshiriki Yanga kwa kufuata kanuni na sheria za TFF, CAF, pamoja na FIFA.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up