Lyrics

"Baada ya kuambulia kichapo cha bao tatu kwa mbili, sasa Liverpool wanafunga virago vyao na kuwasili katika uwanja wa Ibrox kuvaana na Glasgow Rangers katika hatua za makundi ligi ya mabingwa Ulaya.

Katika mechi hiyo Liverpool wanashikilia nafasi ya pili katika kundi lao wakiwa na alama sita huku Rangers wakiwa hawana alama yoyote katika kundi hilo kwa kufungwa mechi zote tatu walizocheza katika kundi A linalowakilishwa na timu kama vile Napoli, Liverpool, Ajax pamoja na Rangers.

Katika mechi tano za Rangers walizozicheza hapo awali kabla ya hii wanayokwenda kuvaana na majogoo wa jiji la London tayari kocha Giovanni Van Bronckhorst ameshinda mechi tatu na mechi mbili akiwa amepoteza na hakuna sare. Kwa upande wake Klopp tayari amepoteza mechi mbili, mechi mbili kaondoka na alama tatu huku sare ametoa mechi moja..
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up