Lyrics

"Katika viunga vya Craven Cottage Fulham waliwakaribisha Liverpool katika mzunguko wa kwanza wa Ligi kuu Uingereza. Fulham wakiwa ndio mabingwa wa Ligi daraja la kwanza nchini Uingereza wameweza kuvutana shati na Liverpool na kumaliza mchezo kwa sare wa bao 2-2.

Katika mchezo huo Fulham walimiliki mpira kwa 33% huku Majogoo wa London Liverpool wao wakimiliki mpira kwa 67%. Huku kwa upande wa Kona Fulham walipata Kona 4 sawa na Liverpool ambao nao walipata Kona 4. Sambamba na Offside kwa Fulham zilikuwa 4 vivyo hivyo kwa Liverpool waliopata Offside 4.

Vijana wa Marco Silva waliupiga mwingi na kupata mashuti 3 ya moja kwa moja katika lango la Liver huku wapinzani wao hao walipiga jumla ya mashuti 4 katika lango la Fulham. Katika upande wa suala la kadi Fulham wao walipata kadi 2 za njano na Hakuna kadi zingine zilizotolewa katika mchezo huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up