- 1:59
Ubashiri mechi ya Rangers Vs Liverpool
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Baada ya kuambulia kichapo cha bao tatu kwa mbili, sasa Liverpool wanafunga virago vyao na kuwasili katika uwanja wa Ibrox kuvaana na Glasgow Rangers katika hatua za makundi ligi ya mabingwa Ulaya.Katika mechi hiyo Liverpool wanashikilia nafasi ya pili katika kundi lao wakiwa na alama sita huku Rangers wakiwa hawana alama yoyote katika kundi hilo kwa kufungwa mechi zote tatu walizocheza katika kundi A linalowakilishwa na timu kama vile Napoli, Liverpool, Ajax pamoja na Rangers.
Katika mechi tano za Rangers walizozicheza hapo awali kabla ya hii wanayokwenda kuvaana na majogoo wa jiji la London tayari kocha Giovanni Van Bronckhorst ameshinda mechi tatu na mechi mbili akiwa amepoteza na hakuna sare. Kwa upande wake Klopp tayari amepoteza mechi mbili, mechi mbili kaondoka na alama tatu huku sare ametoa mechi moja..
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.