Lyrics

"Kombe la dunia la mwaka 2018 ni mashindano yaliyoanza mwezi Juni tarehe 14 na kutamatika mwezi wa Julai 15 ambapo Ufaransa walishuhudiwa wakiibuka washindi wa mashindano hayo katika fainali zilizomkutanisha na Kroashia katika uwanja wa Luzhniki na kuibuka na ushindi wa mabao nanne kwa mawili. Ushindi huo ni wa pili kwa Ufaransa katika ushiriki wao wa kombe la dunia baada ya miaka ishirini kupita tangu wapate ushindi wa kwanza wa kombe la dunia mnamo mwaka 1998.

Katika kombe hilo la dunia lililofanyika Urusi kuna baadhi ya mambo ambayo yalifanya mashindano hayo yawe ya kipekee zaidi ukilinganisha na mashindano mengine ya kombe la dunia, na mambo hayo ni kama yafuatayo.

REKODI YA GHARAMA ZA UANDAAJI
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up