Lyrics

"Ile ahadi ya Rais Samia ya kutoa donge nono la fedha kwa kila goli litakalofunga na Simba au Yanga hatimaye imetimia baada ya timu ya Yanga kupokea kiasi cha Shilingi milioni kumi na tano kama ahadi kutoka kwa Rais Samia.

Wekundu wa Msimbazi Simba wao walishindwa kupata fedha hizo baada ya kupoteza alama tatu zingine Tena kutoka kwa Raja Casablanca kwa kufungwa mabao matatu kwa sifuri siku ya Jumamosi.

Simba waliutawala mpira zaidi ya Casablanca kwa asilimia 62 bila ya mafanikio ya kuona lango la wageni wao ambao wao walikuwa na asilimia 38 za umiliki wa mpira. Pia Kona 9 kwa Simba hazikuzaa matunda na upande wa Raja wakiwa na Kona 5.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up