- 3:11
Tetesi za usajili wa mastaa wa soka Ulaya
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Huko Ulaya Sasa tetesi za mastaa wa soka kusajiliwa na kuhama timu zao zimezidi kusambaa katika mitandao mbalimbali, haswa katika Kipindi hiki ambacho ligi mbalimbali zikielekea ukingoni.Wafuatao ni mastaa mbalimbali wa soka wanaosemekana wakahama timu zao baada ya msimu huu wa mwaka 2021-2022 kuisha.
Erling Haaland
Mshambuliaji kinda mwenye maajabu yake anasemekana kuwindwa na Manchester City katika dirisha kubwa la majira ya joto. Haaland mwenye miaka 21 amekua miongoni mwa wachezaji wadogo wanaosemekana kuweza kuja kuchukua nafasi ya kizazi Cha Messi na Ronaldo.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Ubashiri mechi ya Wydad Casablanca Vs Simba Sc -Ligi ya Mabingwa Afrika1:03
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Ubashiri mechi ya Vipers SC Vs Simba Sc1:41
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.