Lyrics

"Kama ilivyo ada ya kuwa dalili ya mvua ni mawingu, ndivyo pia katika mechi ya Ngao ya Jamii Jumamosi hii ndiyo itakayo rihirisha kukaribia kwa Ligi kuu Uingereza. Katika mechi hiyo Liverpool watavaana na mabingwa wa Ligi hiyo Manchester City katika Uwanja wa Kings power Stadium.

Ijapo kuwa mechi hiyo ya Ngao ya Jamii zimezoeleka kuchezwa katika uwanja wa Wembley Stadium lakini timu ya Taifa ya wanawake wa Uingereza itatumia uwanja huo katika mashindano ya Euro watakapo vaana na Ujerumani.

Katika mechi hiyo ya ngao ya Jamii macho yatakuwa zaidi kwa Darwin Nunez aliyesajiliwa na Liverpool pamoja Eirling Haaland kutokea Manchester City. Nani zaidi ndiyo itakuwa stori kubwa kwa siku Kati ya washambuliaji hao wawili. Lakini inasemekana Haaland amepata majeraha kadhaa.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up