Lyrics

"Baada ya balaa la ligi kuu Uingereza kutimua vumbi mwishoni wa wiki mabingwa watetezi Manchester City wameanza msimu kwa kunyakua alama tatu za awali na muhimu katika mzunguko wa Kwanza.

City wakiwa chini ya Pep Guardiola wameweza kuwacharaza West Ham United katika uwanja wao wa nyumbani wa London Stadium kwa ushindi wa bao 2-0. Huu umekuwa mwanzo mzuri kwa mshambuliaji Erling Haaland ambaye ndiye ameweka kambani mabao hayo mawili katika mechi hiyo.

Kwa West Ham mpira kwao ilikuwa mzito Sana kuumiliki kwa kupata 25% katika umiliki wa mpira na kuwapa Manchester City takribani 75% za umiliki wa mpira katika mechi hiyo. Hii iliwasaidia City kupata nafasi zaidi ya ushindi.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up