Lyrics

"Klabu ya soka kutokea Magharibi mwa London, Chelsea imeangukia pua kwa mara nyingine baada ya kipigo cha bao 2-0 dhidi ya Brentford ambao pia ni mahasimu wao kutokea upande huo wa London.

The blues ambao kwa sasa wako chini ya muangalizi Frank Lampard tayari wamepoteza mchezo wa tano mfululizo wakiwa na mchezaji huyo wa zamani wa Chelsea baada ya mchezo uliopita waliokipiga dhidi ya Real Madrid na kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali.


View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up