Lyrics

"Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inaingia vitani dhidi ya The Cranes timu ya Taifa ya Uganda katika kuiwania nafasi ya mbele zaidi katika mashindano ya AFCONS kwa Sasa wakiwa katika hatua ya makundi.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Misri katika mji wa Ismailia, Taifa Stars walifanikiwa kushinda mchezo huo kwa ushindi wa bao Moja kwa sifuri, goli lililofungwa na Simon Msuva na kuwaweka mbele Tanzania.

Siku ya Jumanne mtanange wa marudiano utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Taifa Stars wakiwa nyumbani pamoja na mtaji kifuani wa bao moja dhidi ya Uganda.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up