- 1:10
Taifa Stars kumenyana na Uganda Jumanne hii
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inaingia vitani dhidi ya The Cranes timu ya Taifa ya Uganda katika kuiwania nafasi ya mbele zaidi katika mashindano ya AFCONS kwa Sasa wakiwa katika hatua ya makundi.Katika mchezo wa kwanza uliochezwa nchini Misri katika mji wa Ismailia, Taifa Stars walifanikiwa kushinda mchezo huo kwa ushindi wa bao Moja kwa sifuri, goli lililofungwa na Simon Msuva na kuwaweka mbele Tanzania.
Siku ya Jumanne mtanange wa marudiano utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Taifa Stars wakiwa nyumbani pamoja na mtaji kifuani wa bao moja dhidi ya Uganda.
View more
Discover more artists
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- Upekee wa Jezi mpya za timu ya Yanga2:46
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- Liverpool Vs Real Madrid UEFA FINAL1:22
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Simba Youth Tanzania yapata wadhamini wapya1:21
- George Mpole kinara wa mabao NBC Premier League1:38
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Sierra Leone yaweka historia0:27
- Uchambuzi mechi ya Simba Sc Vs Primeiro De Agosto1:55
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.