Lyrics

"Usiku wa Alhamisi baadhi ya mechi za kombe la Europa zilichezwa ukiwa ni mzunguko wa pili wa kombe hilo huku kukiwa na timu zilizopata matokeo katika dakika za mapema tofauti Sporting CP ambao wao walilazimika kusogeza dakika hadi katika dakika za nyongeza na hatimaye penalti zikaamua wao kutinga robo fainali.

Juventus walianza kukichapa dhidi ya Freiburg kutokea Ujerumani na kuibuka na ushindi wa bao mbili ya sifuri ukiwa ni utofauti wa mabao matatu kwa sifuri pamoja na bao walilolifunga Juve katika mzunguko wa kwanza walipokuwa nyumbani. Katika mchezo huo mabao ya Juventus yalifungwa na Dusan Vlahovic goli lililowekwa kambani kwa mkwaju wa penalti na bao la pili likifungwa na Federico Chiesa.

Kwa Upande wa mashetani wekundu Manchester United kwao mchezo huu haukuwa na ugumu sana kwani tayari walikuwa wanaingika katika mchezo huo wakiwa na mabao manne kwa moja dhidi ya Real Betis kutokea Uhispania. Marcus Rashford alifanikiwa kuongeza bao moja katika mechi hiyo na kuufanya mzunguko wa pili uishe kwa utofauti wa mabao matano kwa moja.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up