Lyrics

"Kuelekea mzunguko wa 4 wa kombe la FA Manchester City wanakwenda kuwa wenyeji wa Arsenal mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Etihad siku ya Ijumaa.

Katika mchezo huo City wanaingia wakiwa kifua mbele baada ya kuwafunga Arsenal katika michezo mitano ya mwisho waliyokutana licha ya wao kuwa katika nafasi ya pili katika ligi na Arsenal wakiwa wanaongoza ligi.

Kwa kiwango cha The Gunners msimu huu wakiwa chini ya Mikel Arteta wana uwezo mkubwa zaidi wa kupindua historia na kurudisha heshima dhidi ya Man city katika mchezo huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up