Lyrics

Majoogo wa London Liverpool watavaana na wababe kutokea Stanford bridge Chelsea siku ya Jumamosi katika uwanja wa Anfield ukiwa ni mchezo wa ligi kuu Uingereza, Liverpool wakiwa wenyeji.

Katika mchezo huu timu zote mbili zitakuwa zikihangaika kutafuta alama tatu kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri katika ligi haswa baada ya kuandamwa na majeruhi na kuzifanya zikose wachezaji muhimu.

Liverpool wakiwa nafasi ya tisa wanapitia wakati mguu hasa baada ya wachezaji wa timu hiyo kuonesha kuchoka kutokana na mikikimikiki kwa baadhi ya misimu na kufanya washindwe kupata matokeo ya kueleweka.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up