Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!

Ubashiri mechi ya Arsenal Vs Bodø/Glimt
- 1:51
Lyrics
"Arsenal wanawakaribisha Bodø/Glimt uwanja wa Emirate katika ligi ya Europa timu hizi zikiwa kundi A na ukiwa ni mzunguko wa tatu. Katika kundi hilo Bodø/Glimt ya huko nchini Norway wanaongoza kwa kuwa na alama 4 baada ya kushinda mechi moja dhidi ya Fc Zurich na kutoa sare mechi moja waliyocheza na PSV Eindhoven. Huku wao Arsenal akishinda mechi moja dhidi ya Fc Zurich na kuwafanya washikilie nafasi ya pili katika kundi hilo.Arsenal wataendelea kumkosa Emile Smith Rowe mpaka mwezi wa Decemba baada ya kufanyiwa upauaji, huku Mohamed Elnely akitazamiwa kurejea katika kikosi hicho kutoa katika majeraha ya kifundo cha mguu. Kwa upande wa kikosi cha Kjetil Knutsen wao wanauwezekano wa kuendelea kumkosa beki wao Cedric Soares kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu pamoja na Sondre Brunstad Fet ambaye yeye yuko nje ya uwanja kwa msimu huu mzim,a.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt

MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
Manchester City News: Haaland City transfer1:19
Ubashiri mechi ya Liverpool Vs Manchester United- Bangkok2:16
SAOT - Sports Highlights0:42
Ubashiri mechi ya Wolveshampton Wanderers Vs Manchester City-Jumatano hii1:43
Azam vs Simba - Jumatano1:22
CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
Playlists
-
Christmas | Mimi Mars
4 songs
-
Hot Hits EA 23'
42 songs
-
AMAPIANO Music Zambia
34 songs
-
Naija Decides
89 songs
-
New Naija hits
285 songs
Today's free download
New song, every day

Liverpool FC News, History, Bio1:51
Magoli ya simba ni physics tupu ahmed ally1:43
ARSENAL3:57
Football Analysis2:46
simba na yanga goli la zimbwe na okwi1:00
SIMBA NA YANGA 202610:47
Manchester Unied News, Bio, History2:09
Kombe la dunia 20261:45
Argentina World Cup 20221:03
Yanga raha utamu1:17
Trending Football
Featured songs
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.


