Lyrics

"Arsenal wanawakaribisha Bodø/Glimt uwanja wa Emirate katika ligi ya Europa timu hizi zikiwa kundi A na ukiwa ni mzunguko wa tatu. Katika kundi hilo Bodø/Glimt ya huko nchini Norway wanaongoza kwa kuwa na alama 4 baada ya kushinda mechi moja dhidi ya Fc Zurich na kutoa sare mechi moja waliyocheza na PSV Eindhoven. Huku wao Arsenal akishinda mechi moja dhidi ya Fc Zurich na kuwafanya washikilie nafasi ya pili katika kundi hilo.

Arsenal wataendelea kumkosa Emile Smith Rowe mpaka mwezi wa Decemba baada ya kufanyiwa upauaji, huku Mohamed Elnely akitazamiwa kurejea katika kikosi hicho kutoa katika majeraha ya kifundo cha mguu. Kwa upande wa kikosi cha Kjetil Knutsen wao wanauwezekano wa kuendelea kumkosa beki wao Cedric Soares kutokana na majeraha ya kifundo cha mguu pamoja na Sondre Brunstad Fet ambaye yeye yuko nje ya uwanja kwa msimu huu mzim,a.

Arsenal na Bodø hii itakuwa mara yao ya kwanza kukutanaa uwanjani. Kwa Mikel Arteta kwa mechi zake tano za hapo awali tayari ameshinda mechi nne na kufungwa mechi moja huku wao Bodo/Glimt kwa mechi tano za hapo awali kabla ya hii watakayokutana na Arsenal ni mechi moja wamefungwa huku wakitoa sare mechi mbili na kushinda mechi mbili.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up