Lyrics

"Katika usiku wa Mabingwa Ulaya, Manchester City wameshinda magoli 2-1 dhidi ya Borussia Dortmund. Ushindi huo unawafanya City waongoze katika kundi G baada ya Mzunguko wa pili wa Ligi hiyo katika mechi iliyochezwa uwanja wa Etihad.

Dortmund walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Jude Bellingham baada ya Marco Reus kumpatia pasi iliyopelekea goli hilo katika dakika ya 56 ya kipindi Cha pili cha mchezo huo.

Katika dakika ya 80 ya mchezo huo John stone akiwa nje kabisa ya boksi anafanikiwa kusawazisha bao hilo baada ya De Bruyne kumsogezea mpira na kuuweka kambani.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up