Lyrics

Baada ya Meneja wa Ac Roma Jose Mourinho kumwaga machozi wakati walipofudhu fainali za UEFA EUROPA Conference League mapema wiki iliyopita,Sasa usiku wa Jana wameweza kubeba ubingwa huo mbele ya Feyenoord kwa ushindi wa bao 1-0, bao lililofungwa na Nicolo Zaniolo katika dakika ya 32.

Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Air Albania Stadium ulimfanya Mourinho kuchukua ubingwa wa 5 Ulaya akiwa na timu tofauti tofauti ambazo ni Manchester United, Inter Milan, Fc Porto na Sasa Ac Roma na kusema kwake ubingwa huu ni wa tofauti ukilinganisha na ubingwa mwingine aliowahi kushinda.

Katika mchezo huu uliokuwa na upunzani kwa pande zote Roma umiliki wao wa mpira ulikuwa wa 33% lakini wao Feyenoord waliupiga mwingi na kumiliki mpira kwa 67%.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up