Lyrics

"Klabu ya soka kutokea Saudi Arabia Al Hilal imetuma ombi kwa mshambuliaji Lionel Messi la kutoa ofa ambayo itakidhi mahitaji yake.Kulingana na taarifa kutoka kwa mwanahabari wa masuala ya soka Fabrizio Romano ofa hiyo inaripotiwa kuwa zaidi ya dola za kimarekani milioni 430 kwa mwaka.

Mbali na timu hiyo pia siku chache zilizopita Barcelona nao waliweka wazi kumhitaji mchezaji huyo endapo kama yeye atatamani kurejea klabuni hapo. Kupitia kwa kocha wake Xavi Hernandez Barca walitangaza nia ya kumhitaji mshindi huyo wa tuzo Saba za ballon D'or endapo kama yeye atatamani kumalizia safari yake ya soka mahali alipoanzia.

Endapo Messi atakubaliana na dili hilo la kwenda kukipiga Saudi Pro League, utaleta mwendelezo wa safari ingine ya kukutana na Cristiano Ronaldo anayeichezea Al Nassr ya huko huko Saudi na kuirejesha safari waliyoianzisha La Liga Messi akiwa Barcelona na Ronaldo akiwa Real Madrid.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up