Lyrics

"Aliyekuwa kocha wa timu ya Chelsea, Thomas Tuchel anatarajiwa kuichukua nafasi kama kocha mkuu wa kikosi cha Bayern Munich baada ya taarifa kusambaa ya kuwa Julian Nagelsmann kutimuliwa katika kikosi hicho.

Kupitia kwa mwanahabari wa masuala ya mpira wa miguu, Fabrizio Roman amekuwa akitoa mfululizo wa jambo hilo huku kukiwa hakuna sababu maalum iliyowekwa wazi ya kumfanya Nagelsman kuondoka katika kikosi hicho cha miamba ya Ujerumani.

Tuchel alitimuliwa na Chelsea kutokana na kutokuwa na Falsafa iliyoendana na viongozi wapya wa klabu hiyo mwanzoni mwa msimu baada ya kudumu na The blue kwa muda mchache uliofanikisha kuchukua ligi ya mabingwa Ulaya na ikiwa ni mara yake ya kwanza kubeba ubingwa huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up