Lyrics

"Baada ya ushindi wao dhidi ya TP Mazembe sasa Young Africans sports club kituo kinachofuata ni nchini Mali katika mchezo wao wa tatu watakaocheza dhidi ya AS Real Bamako katika Uwanja wa State 26 Mars siku ya Jumapili.

Huu utakuwa mchezo wa tatu kwa Bamako wakiwa na alama Moja pekee katika kundi D na Yanga wao wakiwa na alama tatu mara baada ya kupoteza mchezo mmoja na kushinda mchezo mmoja katika kundi hilo.

Licha ya yote lakini kikosi cha Wananchi ambao ni wakaribishwa wana majeruhi mmoja ambaye ni Bernard Morrison huku wachezaji wengine wakiwa imara kuelekea mchezo huo wa Jumapili.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up