Lyrics

"Safari ya Manchester City hadi Ujerumani imeishia kwa sare ya bao Moja kwa Moja dhidi ya Red Bull Leipzig katika mzunguko wa 16 ligi ya mabingwa Ulaya.

Riyad Mahrez aliwatanguliza kifua mbele City baada ya kupachika bao katika dakika ya 27 ya kipindi Cha kwanza baada ya nahodha Ilkay Gundogan kuipanga pasi ya usaidizi wa goli na kufanikiwa kuzitikisa nyavu za wenyeji wao.

Kwa umiliki wa asilimia 62 Manchester City wangekuwa na uwezo zaidi wa kupata mabao na kushinda mchezo huo ukilinganishwa na umiliki wa Leipzig walipokuwa na umiliki wa asilimia 38 katika mchezo huo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up