Lyrics

"Hatimaye miaka 10 tayari imeshasonga mbele na Raphael Varane ameamua kuifikia ukingoni safari yake ya kushiriki katika mashindano makubwa ya kombe la Dunia akiwa Moja kati ya wachezaji mashughuri wa timu ya Taifa ya Ufaransa.

Varane mwenye miaka 29 amelithibitishia hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea safari yake ya kujiunga na Ufaransa tangu mwezi May mwaka 2013 akiwa Moja kati ya mabeki wazuri katika nafasi zao.

Baada ya kushiriki michezo 93 akiwa na Ufaransa kati ya mafanikio makubwa aliyoyapata Varane na timu ya Taifa ya Ufaransa ni pamoja na ushindi wa kombe la Dunia mwaka 2018 waliyoicheza dhidi ya Croatia nchini Urusi ligi ya mataifa ya Ulaya
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up