Lyrics

Jumapili ya Ligi kuu Uingereza inaendelea kwa Arsenal wakikusanya mitutu yao kwenda katika vita ya kisasi dhidi ya Mashetani wekundu Manchester United katika uwanja wa Emirate.

Licha ya Arsenal kuongoza ligi hiyo ya Uingereza lakini wanaingia katika mchezo huo wakiwa na jeraha dhidi ya United waliowatandika bao 3-1 katika mchezo uliochezwa Old trafford mwezi Septemba ambao pia ndio mchezo pekee Arsenal waliofungwa katika ligi msimu huu.

Manchester United nao pia wamepata pigo katika mechi yao dhidi ya Crystal Place baada ya kiungo mshambuliaji wa timu hiyo Casemiro kupatiwa kadi ya njano, ikiwa ni kadi ya tano ya njano na kumfanya akose mchezo utakaofuata ambao ni mchezo dhidi ya Arsenal.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up