Lyrics

"Baada ya klabu ya soka ya Yanga kufanya usajili wa mlinda mlango Metacha Mnata Afisa habari wa klabu hiyo Ali kwamwe amempongeza mchezaji huyo baada ya kuwataka radhi mashabiki wa Yanga kutokana na tukio la kuwavunjia heshima na kuondoka katika klabu hiyo akiwa amebeba chuki kwa mashabiki kutokana na tukio hilo.

Katika mahojiano aliyoyafanya na Azamtvsports Ali Kamwe alisema ya kuwa ""….kama Kuna mahala amewahi (Metacha) zungumza kama alivyozungumza kwenye hiyo clip alivyozungumza akiomba msamaha mashabiki wa Young Africans, ame-post kwenye page yake akiomba radhi na akikiri kutambua kwamba alikosea …..""

Masaa machache kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa klabu ya Yanga iliingia sokoni kumtafuta mlinda mlango kwa haraka baada ya golikipa Aboutwalib Mshery kuwa na majeraha yatakayomkalisha nje ya Uwanja kwa muda mrefu.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up