Lyrics

"Vigongo wa soka Lionel Messi pamoja na Cristiano Ronaldo wanakutana uso kwa uso katika uwanja wa King Fahd International stadium baada ya miaka kadhaa kupita tangu watunishuane misuli. Mchezo huo utachezwa siku ya Alhamis huko Saudi Arabia katika Jiji la Riyadh.

Uwanja wa King Fahd wenye uwezo wa kuchukua zaidi ya watu 60,000 ndicho kiwanja ambacho pia kilihusika katika fainali za Super Cup na Barcelona kuibuka washindi siku ya Jumapili.

Katika mchezo huu PSG ya Ufaransa watafunga safari katika mchezo wa kirafiki utakao wakutanisha dhidi ya muunganiko wa timu mbili Al Nassr anayotoka Ronaldo pamoja na Al hilal ukiwa ni mchezo wa kirafiki, huku muunganiko huo ukipewa jina la timu ya msimu ya Riyadh.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up