- 1:36
Qatar kutokukidhi vigezo vya FIFA 2010
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter ambaye aliongoza shirikisho hilo kuanzia mwaka 1998 mpaka 2015 na kusimamishwa kutokana na tuhuma za rushwa mapema wiki hii amekiri kuipatia Qatar nafasi ya kuwa wenyeji wa kombe la dunia kinyume na sheria.Mnamo mwaka 2010 Qatar ndio waliteuliwa kuwa wenyeji wa kombe la dunia lakini wiki hii Blatter katika jarida moja la habari nchini Uswizi alisema ya kuwa baada ya Urusi, USA ndiyo iliyotakiwa ifuate kuwa wenyeji wa kombe hilo la dunia litakalofanyika mwezi Novemba mwaka huu na kusema pia ni makosa aliyoyafanya katika chaguo hilo la Qatar.
Katika mahojiano na gazeti la Tages-Anzeiger Blatter aliongeza kwa kusema ‘... Qatar kupata nafasi ya kuwa wenyeji ni makosa na mimi nilikuwa na jukumu kama Rais wa wakati huo.’ Pia Rais huyo wa zamani alisema ya kuwa hana uhusiano na Rais wa Urusi kwa sasa na kuoneshwa kukerwa na uvanizi wa Urusi nchini Ukraini.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Simba waangukia pua, Yanga yang'ara2:24
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- Tetesi za usajili wa mastaa wa soka Ulaya3:11
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- CAF Awards 2022 - CLUB Awards1:00
- Yanga yajibu mashambulizi ya Sportpesa1:37
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Arsenal FC Bio1:35
- Ubashiri mechi ya Vipers SC Vs Simba Sc1:41
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.