Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!

Uchambuzi mechi ya Arsenal Vs Liverpool
- 2:23
Lyrics
"Arsenal wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani wa Emirate wameweza kuwachapa Liverpool bao tatu kwa mbili na kuwafanya waendelee kuongoza ligi hiyo ya Uingereza kwa kuwa na jumla ya alama 24 na wao Liverpool wakishikilia nafasi ya 10 wakiwa na alama 10 pekee.Arsenal walianza mpira vyema katika ile dakika ya kwanza kabisa ya mchezo baada ya kupata bao la kwanza kupitia kwa mshambuliaji Gabriel Martinelli baada ya kupata pasi ya usaidizi wa goli kutoka kwa Martin Odegaard kabla ya ile dakika ya 34 ya mchezo goli hilo kusawazishwa na Darwin Nunez. Wakati kipindi cha kwanza kinaelekea kutamatika Bukayo Saka akaweka kambani bao la pili kwa Arsenal.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt

MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
Manchester City News: Haaland City transfer1:19
Ubashiri mechi ya Liverpool Vs Manchester United- Bangkok2:16
SAOT - Sports Highlights0:42
Ubashiri mechi ya Wolveshampton Wanderers Vs Manchester City-Jumatano hii1:43
Azam vs Simba - Jumatano1:22
CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
Playlists
-
DJ YLB Mixtapes
24 songs
-
Just HITS
21 songs
-
2024. New Album - Victony - Stubborn
12 songs
-
Trendy 2024 MP3
24 songs
-
Master KG Songs 2024
8 songs
Today's free download
New song, every day

Liverpool FC News, History, Bio1:51
Magoli ya simba ni physics tupu ahmed ally1:43
ARSENAL3:57
Football Analysis2:46
simba na yanga goli la zimbwe na okwi1:00
SIMBA NA YANGA 202610:47
Manchester Unied News, Bio, History2:09
Kombe la dunia 20261:45
Argentina World Cup 20221:03
Yanga raha utamu1:17
Trending Football
Featured songs
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.


