Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!

Uchambuzi mechi ya Manchester City Vs Manchester United
- 3:01
Lyrics
"Jumapili hii imeweza kuisha vizuri zaidi kwa mashabiki wa Manchester City baada ya kukamilisha ushindi mnono katika dabi yao dhidi ya Manchester United kwa ushindi wa bao sita kwa tatu. City wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani walishuhudiwa wakimtandika United kupitia kwa vijana wao Phil Foden pamoja na Erling Braut Haaland wote wakifunga hattrick.Katika kipindi cha kwanza pekee Pep Guardiola alihakikisha vijana wake hao wanaongoza baada ya kuzamisha kambani mabao manne huku United wao wakitoka bila hata kifutia machozi. Hapa ndipo foden akatangulia kuliona lango la United mapema kabisa katika ile dakika ya nane ya mchezo na dakika ya 34 Haaland atatundika bao la pili kabla ya kufunga goli la tatu dakika tatu mbele. Kuelekea kukamilisha kipindi cha kwanza Haaland akampati Phil Foden pasi ya usaidizi wa goli na kipindi cha kwanza kukamiliki Manchester City wakiwa wanaongoza bao nne kwa sufuri.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt

MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
Manchester City News: Haaland City transfer1:19
Ubashiri mechi ya Liverpool Vs Manchester United- Bangkok2:16
SAOT - Sports Highlights0:42
Ubashiri mechi ya Wolveshampton Wanderers Vs Manchester City-Jumatano hii1:43
Azam vs Simba - Jumatano1:22
CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
Playlists
-
Joeboy Album: Somewhere between beauty and magic
15 songs
-
Trioblaze Special
30 songs
-
FUJI Super
29 songs
-
Niniola Songs
15 songs
-
Hip Hop 22' / Mozambique
27 songs
Today's free download
New song, every day

Liverpool FC News, History, Bio1:51
Magoli ya simba ni physics tupu ahmed ally1:43
ARSENAL3:57
Football Analysis2:46
simba na yanga goli la zimbwe na okwi1:00
SIMBA NA YANGA 202610:47
Manchester Unied News, Bio, History2:09
Kombe la dunia 20261:45
Argentina World Cup 20221:03
Yanga raha utamu1:17
Trending Football
Featured songs
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.


