- 1:40
KFC wakanusha kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Kylian Mbappe
Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
Lyrics
"Kampuni ya vyakula vya haraka ya KFC imekanusha kutaka kuchukua hatua za kisheria kwa shirikisho la soka la nchini Ufaransa baada ya Alain Beral Makamu wa Rais wa KFC nchini ufaransa kuja na tishio hilo. Habari hii imekuja mara baada ya Kylian Mbappe mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Ufaransa kugoma kupiga picha za matangazo kwa kile walichosema ni Hatimiliki ya picha za nyota huyo wa soka.Tamko hilo la Alain Beral limekanushwa na kampuni hiyo na kusema kuwa hayo ni maneno binafsi ya Bwana Beral na pia taratibu za kusuluhisha jambo hilo zitafuatwa kwa kuangalia pande zote zenye malalamilo na mlalamikiwa .
Licha ya KFC kujiweka mbali na maneno ya bwana Beral pia mwanasheria wa mshambuliaji huyo wa timu ya Paris Saint Germain Bibi Deiphine Verheyden kusema kazi yake ni kumsikiliza mteja wake na kumsaidia kuchambua mambo yenye utata.
View more
More songs by Swahili Football predictions ✔️ - Mdundo Alt
- Azam vs Simba - Jumatano1:22
- Simba Sc, Yanga SC zawaka michuano ya kimataifa0:59
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga-ASFC1:28
- FAINALI KLABU BINGWA -SAFARI #MdundoKandanda3:10
- Aziz Ki, Morrison waibeba Yanga1:04
- CAF Club Awards - Sports Highlights1:00
- Uchambuzi Mechi ya Simba Vs Yanga- Ngao ya jamii1:28
- Yanga SC Vs Ihefu Sc Ubashiri1:35
- MDUNDO SPORTS- KENYAN SPORT5:20
- Simba waangukia pua, Yanga yang'ara2:24
- Simba, Yanga washindwa kung'ara kimataifa1:46
- Yanga yatinga Nusu fainali, Simba Yaaga mashindano CAF1:34
- Tetesi za usajili wa mastaa wa soka Ulaya3:11
- Ifahamu Klabu ya SIMBA Sports club ya nchini Tanzania3:42
- Washindi Tuzo za Kombe la Shirikisho Africa - CAF2:57
- CAF Awards 2022 - CLUB Awards1:00
- Yanga yajibu mashambulizi ya Sportpesa1:37
- Taifa Stars na donge nono AFCONS1:02
- Arsenal FC Bio1:35
- Ubashiri mechi ya Vipers SC Vs Simba Sc1:41
News
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.