Lyrics

"Young African Sports club Yanga Jumamosi hii wanakutana na Zalan Fc katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika mechi ya marudiano. Mechi hiyo ni moja Kati ya mechi za mzunguko wa pili wa awali katika Ligi ya mabingwa Afrika.

Wiki iliyopita Zalan walishuhudiwa wakiambulia kichapo Cha bao 4 kwa nunge dhidi ya Yanga. Sasa wanakibarua Cha kutafuta ushindi wa nguvu zaidi kutoka kwa mabingwa hao wa Ligi ya Tanzania bara msimu uliopita.

Katika mechi iliyopita Fiston Mayele alishuhudiwa akifunga mabao matatu (hattrick) na Feitoto Feisal Salum akifunga bao moja dhidi ya Zalan.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up