Lyrics

"Timu ya Nyasa big bullets ya nchini Malawi imeambulia kichapo cha bao 2-0 dhidi ya Wekundu wa Msimbazi Smba ya nchini Tanzania. Mchezo huo ulichezwa siku ya Jumamosi katika uwanja wa Taifa wa Bingu na Nyasa wao wakiwa ndio wenyeji wa mchezo huo katika mkondo wa kwanza katika mzunguko wa awali katika ligi ya mabingwa Africa.

Simba walianza kuziona nyavu za wenyeji wao hao katika dakika ya 29 ya kipindi cha kwanza cha mchezo. Goli hilo liliwekwa kambani na Moses Phiri baada ya kupiga sarakasi (Acrobatics) na kuwacha mabeki wa timu pinzani wakishangaa mpira ukizama kambani.

Goli la pili lilifungwa na Captain John Raphael Bocco katika dakika ya 80 ya kipindi cha pili cha mchezo baada ya kuipokea pasi kutoka kwa Clatous Chama. Bao hii likawaweka Simba kifua mbele katika mzunguko huo wa kwanza na sasa wanasubiri mechi ya marudiano Jumamosi hii
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up