Lyrics

"Baada ya kuondoka Arsenal mapema mwezi wa Februari sasa mshambuliaji mwenye asili ya Gabon Pierre Emerick Aubameyang arejea tena EPL. Katika awamu hii Auba amerejea ligi hiyo ya Uingereza akiwa na Chelsea kwa mkataba wa takribani miaka miwili akitokea Barcelona.

Usajili huu umefanyika katika dakika za mwisho kabisa kabla ya dirisha hilo la majira ya joto kufungwa hapo jana Septemba mosi. Baada ya kufungwa mechi yao ya hapo nyuma Chelsea wameanza kuwa na wasiwasi katika safu ya ushambuliaji na kumfanya Tuchel kuboreshe zaidi safu yake hiyo ya mashambulizi.
View more

Today's free download

New song, every day

Show More

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up