Lyrics

"Ubora wa mchezaji huonekana akiwa uwanjani. Hili limethibitika kwa wachezaji mbalimbali ambao wamehusishwa na usajili wa timu zaidi ya moja. Ikiwa timu zinazidi kuchuana katika kinyang'anyiro Cha kuwapata wachezaji Bora katika vikosi vyao. Wafuatao ni mastaa wa soka wanaohusishwa na usajili katika zaidi ya timu moja.

MARCO ASENSIO
Ni miaka nane inaikaribia kutamatika tangu winga Marco Asensio ajiunge na Real Madrid. Lakini kwa Sasa amekua moja ya wachezaji wanaotamani kuondoka katika kikosi Cha Ancelotti. Arsenal pamoja na Newcastle wako mbioni kuchuana katika kuisaka saini ya nyota huyo wa kihispania. Moja ya hatua za Asensio alizozichukua ni pamoja na kubadili menejimenti yake inayomsimamia ili aweze kupata urahisi wa kuhama Madrid.

View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up